Kila mtu anajua uzuri na raha ya picha, hizi ni za mwigizaji Batuli akiwa na Joel Joseph wa fresh120media siku ya sherehe yake ya kuzaliwa.
Watu wanasema picha huzungumza, lakini Batuli mwenyewe asema wao ni marifiki tuu, na sisi tunakubali, lakini wapo ambao wanaona kunachazaidi hapa....
Katika kuona picha hizi zina utataaa, kwenye moja ya picha hizi Batuli aliandika kwa kumuliza joel kiutani.
“Can I ask u something!? Joel do u have a girlfriend!? Maana nahisi kama utapigwa hivi...... Halafu unajua nina bae au hujui!? Unajua kazi ya silaha hizi!? (akaweka picha yavisu na bastola)
.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ConversionConversion EmoticonEmoticon