.

Baba wa kambo wa Kim Kardashian na aliyemlea, Bruce Jenner anajibadilisha kuwa mwanamke!


  • Baba wa kambo wa Kim Kardashian ambaye ni baba mzazi wa Kendall na Kyle, Bruce Jenner yupo kwenye mchakato wa kujibadilisha kuwa mwanamke, kwa mujibu wa People.

    1390406536_bruce-jenner-zoom
    Taarifa hiyo imetolewa na mtu wa familia yake na kwamba ni mtu mwenye furaha na wanae wamekubaliana na hilo.
    Bruce-Jenner
    Mchakato huo wa kubadilika kuwa mwanamke unatengenezwa makala maalum zitakazokuwa kwenye series.

Previous
Next Post »