- Taswira baada ya ajali hiyo.Wananchi wakiwa eneo la ajali hiyo. Basi la abiria aina ya Toyota Coaster lenye namba za usajili T 932 AFU linalofanya safari zake kati ya Nanenane na Ng'ong'ona mkoani Dodoma limepata ajali leo baada ya kuligonga treni na kupinduka maeneo ya Benki Kuu mkoani humo.
.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ConversionConversion EmoticonEmoticon