.

SALUNI YA NGONO YAFUMULIWA JIJINI DAR, Wateja ni Vigogo, Waume za Watu, Sasa Zipo Kila Kona Jijini Dar




  • HALI ni mbaya! Wakati suala la ajira likiwa bado ni kitendawili kikubwa kwa serikali, Jiji la Dar hivi sasa linatisha, baada ya watu kubuni mtindo mpya wa kujipatia fedha kwa kujihusisha na biashara haramu ya ngono katika maeneo yanayotambulika kufanya shughuli nyingine halali.
    Mhudumu wa saluni ya kuchua akitweta mara baada ya kunaswa na OFM akijihusisha na biashara haramu ya ngono.
    UCHUNGUZI
    Makachero wa kitengo maalum cha Global Publishers cha Operesheni Fichua Maovu (OFM) walifanya uchunguzi na kugundua kuwa zipo saluni nyingi jijini Dar zinazojishughulisha na biashara ya massage (kuchua) lakini ndani yake wahudumu wanajiuza hadi miili ambapo wateja wakubwa ni waume za watu na vigogo serikalini.
    Kikosi kazi cha OFM kikimtaiti mhudumu huyo.
    TUKIO BICHI
    Hivi karibuni OFM walipokea simu kutoka kwa mmoja wa wanawake aliyedai kuchoshwa na shughuli zinazofanyika katika saluni moja ya kuchua (massage, jina linahifadhiwa kwa sasa) iliyopo katika eneo la Kinondoni-Morocco, Dar.
    Mhudumu huyo mwenye asili ya kisomali akitinga viwalo mara baada ya kunaswa katika mtego wa OFM.
    “Jamani nipo hapa nje, nimemfuatilia mume wangu, maana kila siku nasikia huwa anaonekana hapa, hii ni saluni ya kuchua, lakini humo ndani wale wahudumu ni makahaba, wanajiuza tena wanafanyia humohumo ndani, naombeni mje, nataka kufumania,” chanzo chetu kiliongea kwa hasira na uchungu.
    ...Huyu hapa ndio mhudumu mwenyewe.
    OFM MZIGONI
    Kama ilivyo kawaida ya OFM kutodharau wito wowote unaohusiana na uvunjaji wa maadili, uonevu na uhalifu, kikosi kilipangwa harakaharaka na kwa kutumia pikipiki ziendazo kasi, zikafika eneo la tukio katika muda muafaka, kwani difenda la polisi, nayo ilionekana ikiingia eneo hilo kuitikia wito wa raia wema.
    Baadhi ya vifaa vya kufanyia masaji vikiwa mezani.
    KABAAAH!
    Ndani ya saluni hiyo, OFM ilishuhudia mhudumu wa mapokezi ambaye baada ya kuonyeshwa vitambulisho vya askari wa Jeshi la Polisi, alinywea na kuwaruhusu kupekua chumba kimoja baada ya kingine, ili kujionea kama kweli nyumba hiyo ilikuwa ikijihusisha na masuala ya saluni ya uchuaji pekee na siyo vinginevyo.
    Moja ya vitanda vinavyotumiwa kwa ajili ya biashara ya ngono kwa wateja wanaofika katika saluni hiyo.
    Katika chumba cha kwanza, askari hao walimkuta mwanaume mmoja akiwa uchi wa nyama, lakini mwanamke aliyekuwa naye akiwa amevaa nguo zake, kitu kilichoashiria kuwa tayari ‘mchezo ulishafanyika’.
    Katika hali isiyotarajiwa, baada ya kupitia vyumba vingine vinne na kuvikuta

Previous
Next Post »