.

IYOBO: HATA KAMA AUNT AMENIZIDI UMRI, HAIHUSU


  • DANSA grade one wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo.
    Akizungumza  juzikati, Iyobo.

    alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye kumpenda Aunt
    ambaye ana umri wa miaka 29, hawajui tu mapenzi hayaangalii umri kwani miaka ni namba tu za kuhesabika.
    “Age is just a number, mimi sioni tatizo kuwa  na Aunt. Nategemeaanizalie, awe mama wa watoto wangu. Kuhusu wale wanaosema nina mke mwingine, si kweli yule nilizaa naye tu lakini kwa Aunt ndiyo nimefika,” alisema Iyobo ambaye ana umri wa miaka 23.

Previous
Next Post »