.

RAIS KIKWETE ALIPOHUTUBIA BUNGE NA KULIVUNJA RASMI JANA MJINI DODOMA


Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman na wajumbe wake pamoja na Maofisa wa Bunge wakiingia bungeni tayari kwa hotuba ya mwisho ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma jana.
Marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa, Mawaziri wakuu wastaafu Dkt. Salim Ahmed Salim, Jaji Joseph Sinde Warioba, Mhe. Frederick Sumaye, Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Maofisa Waandamizi wa Jeshi na Serikalini wakiwa wamesimama wakati viongozi wakiingia bungeni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiingia bungeni.
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali akiingia katika ukumbi wa Bunge.
 Spika Anne Makinda akimuongoza Rais Kikwete kuingia bungeni.
 Rais Kikwete akiingia bungeni huku akishangiliwa na wabunge.
 Rais Kikwete akiingia bungeni.
 Rais Kikwete na Spika Makinda wakielekea kuchukua nafasi zao.
Sehemu ya Ukumbi wa Bunge wakati Rais Kikwete akiingia.
 Waheshimiwa wabunge.
Maofisa waandamizi wa Bunge.
 Rais Kikwete akianza kuhutubia wabunge.
 Sehemu ya maafisa waandamizi wa bunge
 Rais Kikwete akihutubia
 Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake
 Waheshimiwa wabunge wakiwa wametulia kumsikiliza Rais Kikwete
 Sehemu ya wabunge
 Sehemu ya wageni mashuhuri wakifuatilia hotuba
 Sehemu ya wabunge
 Wake wa viongozi, watoto wa Rais Kikwete na maafisa mbalimbali
 Sehemu ya Mabalozi 
 Wabunge wakifuatilia hotuba
 Wabunge wakifuatilia hotuba
 Wabunge wakifuatilia hotuba.
 Wabunge wakifuatilia hotuba.
 Wabunge wakifuatilia hotuba.
 Wabunge wakifuatilia hotuba.
 Wabunge wakifuatilia hotuba
 Wapiga picha wakirekodi hotuba ya Rais Kikwete.
 Jaji Mkuu na wajumbe wake
 Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge.
Previous
Next Post »