.

Prof. Muhongo Aita Waandishi wa Habari Leo

  • Leo ni leo. Jumamosi, Januari 24; saa 5 ofisini kwake. Mada kuu ni Escrow. Amewaita waandishi wa habari ili kutoa ya mayoni , haijulikani anataka kusema nini na kuchukua hatua gani , inasemekana kuna viongozi viti havikaliki kwa vile kuna wasiwasi akalipua bomu ambalo halijulikani .
    Bunge linatarajia kuanza week ijayo na kuna wabunge wameapa kuwa Muhongo na Chenge wakiingia bungeni siku hiyo hapata kalika.

    Nini Maoni yako ya hii habari?

Previous
Next Post »