.

Ratiba ya Kuuaga Mwili wa Marehemu Kapten Komba Leo katika Viwanja Vya Karimjee



NA.
MUDA
TUKIO
MHUSIKA
 
1.
12:00
– 01:00
 
Familia na Waombolezaji kupata chai nyumbani
 
Kaimu
Katibu wa Bunge
2.
01:00
– 04:00
Misa
ya kuaga mwili wa Marehemu
 
Kanisa
Katoliki,
Parokia
ya Bikira Maria Mpalizwa
 
3.
04:00
– 04:30
·
Ndugu, Jamaa na Wananchi kuwasili katika
Viwanja vya Karimjee
 
·
Viongozi wa Vyama vya Siasa, Waheshimiwa
Wabunge, Manaibu Waziri, Mawaziri kuwasili na kuketi katika nafasi zao
 
Katibu
wa Bunge
 
4.
04:33
Kiongozi
wa Upinzani Bungeni  kuwasili
 
Kaimu
Katibu wa Bunge
5.
04:36
Mhe.
Naibu Spika kuwasili
 
Kaimu
Katibu wa Bunge
6.
04:39
Mhe.
Spika kuwasili
 
Mhe.
Naibu Spika
7.
04:42
Mhe.
Waziri Mkuu kuwasili
 
Mhe.
Spika
8.
04:50
Mhe.
Makamu wa Rais kuwasili
Mhe.
Spika
 
9.
05:00
Mhe.
Rais kuwasili
 
Mhe.
Spika
10.
05:00
Mwili
wa Marehemu kuwasili  kwa gwaride
maalum la Sergeant-At-Arms
 
Katibu
wa Bunge
11.
05:00
– 05:15
Sala
fupi
Kanisa
Katoliki,
Parokia
ya Bikira Maria Mpalizwa
12.
05:15
– 05:20
Wasifu
wa Marehemu
 
Kaimu
Katibu wa Bunge
13.
05:20
– 05:30
Salamu na Rambirambi za Chama cha Mapinduzi (CCM)
 
Katibu
Mkuu, CCM
14.
05:30
– 05:35
Salamu
na Rambirambi kutoka kwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni
 
Kiongozi
wa Upinzani Bungeni
15.
05:35
– 05:45
Salamu
na Rambirambi za Serikali
 
Waziri
Mkuu
16.
05:45
– 05:55
Salamu
na Rambirambi za Uongozi wa Bunge
 
Mhe.
Spika
17.
05:55
– 06:00
Neno la Shukrani toka kwa familia
 
Mwakilishi
wa Familia
18.
06:00
– 06:15
Utaratibu
wa safari
 
Kaimu
Katibu wa Bunge
19.
06:15
– 07:15
Kuaga
Mwili wa Marehemu kulingana na Itifaki
 
MC
20.
07:15
Mwili
wa Marehemu kuondoka uwanjani kuelekea Uwanja wa Ndege
 
MC
21.
07:20
– 07:25
Viongozi
wa Kitaifa kuondoka kulingana na Itifaki
 
MC
22.
07:40
Mwili
wa Marehemu kuwasili Uwanja wa Ndege
 
Kaimu
Katibu wa Bunge
23.
08:00
Mwili,
Familia na Waombolezaji kuondoka kuelekea Songea
 
Kaimu
Katibu wa Bunge
24.
10:00
Mwili
wa Marehemu kuwasili Uwanja wa Ndge Songea na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa
 
Ofisi
ya Mkuu wa Mkoa
25.
10:00
– 10:15
Mwili
wa Marehemu kuelekea Uwanja wa Majimaji
 
Ofisi
ya Mkuu wa Mkoa
26.
10:15
– 11:00
Mkuu
wa Mkoa kuongoza wakazi wa Ruvuma kuaga mwili wa Marehemu
 
Ofisi
ya Mkuu wa Mkoa
27.
11:00
– 01:00
Mwili
wa Marehemu kuondoka Uwanja wa Majimaji kuelekea Lituhi, Nyasa
 
·
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
 
·
Kaimu Katibu wa Bunge
28.
01:00
Mwili
kuwasili nyumbani na taratibu za kifamilia kuendelea
 
MC


Previous
Next Post »