.

Siku Mbili Baada ya Prof. Muhongo Kujiuzulu Tume ya Ramani na Madini Duniani Yamteua Kuwa Mtendaji Mkuu wa Tume Hiyo

  • Siku Mbili tu. Baada ya profesa Sospeter Muhongo kujihuzuru nafasi ya waziri wa nishati na madini hii JanaTume ya Ramani na Madini Miamba na Mawe Duniani yenye makao makuu nchini Uingereza imemteua profesa Muhongo kuwa mtendaji mkuu wa tume hiyo pia atafanya kazi kwenye kampuni inayopasua miamba diniani kama mwenyekiti.~Source: William Malecela Blog

Previous
Next Post »