.

MVUA ILIYOZUA BALAA MAENEO YA GOBA LEO

  •  Siku ya leo ikuluwa si shwari kwa wenye magari waishio maeneo ya Goba kutokana na mvua iliyonyesha kuanzia usiku wa leo na asubuhi na kusababisha usumbufu kwa wenye magari kutokana na utelezi mkubwa uliosababishwa na udongo wa mfinyanzi na matengezo ya barabara hiyo iliyochombwa kwa ajili ya kutengenezwa lami.
     Msululu wa magari ukutelemka kwa shida kwa mwendo wa minyato kutokana na utelezi....
     Hapa ni eneo la Bamaga nako hali ilikuwa tete maji yakiwa yamejaa na kuziba mitaro 
    Hapa ni eneo la TMJ ukichimbwa mtaro kwa ajili ya maji..

Previous
Next Post »